Sambaza

Rosa Ree Amkana Timmy Tdat Hadharani

Mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree ‘Goddess Of Rap’ amefunguka kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi na msanii Timmy Tdat wa Kenya.

Timmy Tdat hajambo ila shemeji yenu mimi simfahamu, ni kazi kama mnavyoweza kuona hakuna hata siku moja mkatuona tuko pamoja kiundani, kingine ni washkaji sana, mimi nina mahusiano mengi ya M\Mungu, familia yangu, kazi na sina muda wa kuwa na mahusiano mengine ya aina yoyote” Amefunguka Rosa Ree alipokuwa akifanya mahojiano na kituo kimoja cha televisheni hapa Bongo.

Rosa Ree na Timmy Tdat walianza kuonekana wakiwa pamoja mwanzoni mwa mwaka huu wakiwa nchini Kenya na Tanzania. Pia aliwahi kusema bado hajapata mwanaume wa kuwa naye.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey