Sambaza

Francia & Selena Gomez Wavunja Urafiki Wao

Image result for selena gomez and francia

Mwaka 2017 mwanadada Francia alijitolea kumpatia figo mwanamuziki Selena Gomez, lakini  kwa sasa wamekua hawapatani baada ya kutoonana kwa miezi 9.

Kupitia Mtandao wa Radar Online umeripoti kuwa Selena na na Rafiki yake kipenzi, Francia Raisa ambaye alimsaidia Figo Selena Gomez Mwaka 2017 baada ya figo za mwanamuziki huyo kuanza kushindwa kufanya kazi kutokana na Ugonjwa wa Lupus, wawili hawa sio marafiki tena, na hawajazungumza tangu mwezi October mwaka Jana.

Chanzo cha mfarakano wao Inaripotiwa kuwa Selena alipunguza urafiki baada rafiki yake kutopendezwa na tabia ya kutumia vilevi muda mfupi tu baada ya kuanza kupona. .

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey