LIVE : DJ Sbu Akizindua Kipindi cha Afternoon Drive
DJ Sbu ambaye jina lake kamili ni Sbusiso Leope ni mmoja kati ya Ma-DJ wakali Afrika Kusini kutoka katika Jiji la Johannesburg, leo Jumanne, Agosti 6, 2019, ametua katika studio za Global Radio Sinza-Mori jijini Dar es Salaam kuzindua kipindi cha ‘Afternoon Drive’ kinachoruka kupitia +255 Global Radio.
Kipindi hicho kimezinduliwa live pia kupitia redio ya Masiv Metro ya jijini Johannesburg Afrika Kusini.
Kusikiliza live habari nzima, bonyeza link hii mbele +255 Global Radio
Mamilioni ya watu hivi sasa wanaaangalia TV na kusililiza Radio mtandaoni, tumewarahisishia kuwaletea uhondo huko huko. #NAWESTUKA! #GlobalRadio #GlobalTVOnline
Toa Maoni Yako Hapa