Mtoto Wa Jay-Z Na Beyonce Aweka Rekodi Billboard
Blue Ivy ambae ni mtoto wa rapa Jay-z na muimbaji Beyonce, imeripotiwa kuwa mtoto huyo anafata nyayo za wazazi wake, baada ya baba yake kuweka rekodi ya kuingiza ngoma 100 kwen ye chart za Billboard Hot 100.
Blue Ivy ameweka rekodi ya kuwa mwenye umri mdogo wa miaka 7 tu ameingia kwenye Billboard Hot 100 kupitia ngoma ya Mama yake, Beyonce “Brown Skin Girl” ambayo akiwa ameshirikiana na SAINt JHN, na Wizkid kupitia ngoma iyo ndani ya wiki hii umeshika nafasi ya 76 nakufanya huingie kwen ye chart za Billboard Hot 100.
Toa Maoni Yako Hapa