Nipo tayari Kumpa Lulu Diva ‘Mbegu’ ili Azae – TID
Msanii mkongwe kwenye ‘Game’ ya bongofleva, Top in Dar (TID) ameweka wazi nia yake ya kutaka kumsaidia ‘Mbegu za Kiume’ msanii mwenzie wa kike Lulu Abbas (Lulu Diva) ili naye apate mtoto. TID amefunguka hayo alipokuwa akipiga story na moja ya kituo cha televisheni hapa Bongo.
TID na Lulu Diva wamekuwa wakirushiana maneno katika interviews wanazofanya baada ya TID kufunguka kuwa Lulu Diva ametelekeza mtoto, kitendo ambacho Lulu Diva alikikanusha na kusema kuwa TID hajielewi na amepoteza mwelekeo.
Toa Maoni Yako Hapa