Sambaza

Ujenzi Wa Nyumba Za Kanye West Kusimamishwa

Image result for kanye west house star wars

RAPA Kanye West akiwa anaendelea na mpango wake ujenzi wa vijumba maalum kwa kupangisha wananchi wenye vipato vidogo huwenda mpango wa ujenzi huo ukasimamishwa na mamlaka mjini Los Angeles.

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa huwenda ujenzi wa nyumba zake ukasimamishwa baada ya ma-inspekta kutembembelea mradi huo na kupata malalamiko kwa majirani kuwa ujenzi huo unaharibu mpangilio wa makazi na mitaa yaho.

 Meneja ambaye anasimamia mradi huo alizungumza na kusema kuwa ujenzi wa nyumba izo si za kudumu bali ni za muda mfupi ata hivyo wanahitajika kuwasilisha kibali cha ujenzi wamepatiwa siku 45 na kama hawatafanya hivyo basi zoezi la ujenzi wa nyumba izo litasitishwa.

kanye west domes building calabasas

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey