Meek Mill Asaka Vipaji Vya Wasanii Wachanga
RAPA Meek Mill baada ya kuamua kushirikiana na Jay Z kuanzisha Lebo yake inayoitwa Dream Chasers Records ndani ya Roc Nation siku kadhaa zilizopita, sasa kupitia ukurasa wake Twitter ametoa mchongo kwa wasanii wote ambao wanajijua ni wakali kuimba na kurapu waposti video zao wakiwa wanaimba kisha wamtag kwenye kurasa zake za kijamii.
Wasanii watakaoshinda kwenye huo mchongo watasimamiwa na lebo yake mpya inayoitwa Dream Chasers Records.
Toa Maoni Yako Hapa