Penzi La The Weeknd Na Bella Hadid Lavunjika
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mwanamitindo Bella Hadid na mwanamuziki The Weeknd wameachanasababu kubwa ya kuachana kwao imetajwa kuwa ni muda ambapo wawili hao kubanwa na ratiba za kazi zao.
The Weeknd na Bella Hadid walikutana mwaka 2015 kwenye tamasha la Coachella na October 2018 The Weeknd alimnunulia nyumba ya kifahari uko mjini NewYORK.
Inasemekana kuwa The Weeknd yupo bize na utayarisha album yake mpya ambayo inadaiwa kuachiwa hivi karibuni na hivyo muda mwingi wamekuwa wakiutumia katika kazi na kushau ishu nzima ya mampenzi.
Toa Maoni Yako Hapa