Sambaza

Makamu wa Rais Afunga Nane Nane Morogoro

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu, leo Agosti 8, 2019 ametembelea mabanda ya maonyesho katika kilele cha Sikukuu ya Wakulima ya Nanenane mkoani Morogoro.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu (kulia), akiangalia bidhaa za aina mbalimbali alipotembelea mabanda ya maonyesho  ya  Sikukuu ya Wakulima ya Nanenane yaliyomalizika mkoani Morogoro leo Agosti 8, 2019.
…Akiangalia  bidhaa mbalimbali.

…Akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa shamba la miwa la Kilombero Mohamed Salum.
…Akikagua shamba la miwa.
…Akimkabidhi kombe Mshindi wa Ushiriki Bora katika Maadhimisho ya Nanenane kwa Mwaka 2019, Kanali Aisha Matanzi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey