Rick Ross Apata Shavu Kucheza Filamu Coming To America
Rapa kutoka pande za Marekani Rick Ross amepata shavu la kuwa katika orodha ya watu ambao watashiri katika filamu ya Coming To America akiwa na Eddi Murphy
Rick Ross na Wasley Snipes wametangaza kuwepo na kushiriki kwenye ujio wa filamu hiyo mpya ambayo iliiteka dunia miaka ya 80, utaarishaji wa filami iyo utaanza ivi karibu laki adi sasa badohaijawekwa wazi rapa Rick Ross atashiriki nafasi gani .
Ric Ross amefungukunga alipokua anafanya mahojiano na kituo cha radio Power 106 na Nick Cannon amesema sababu ya kukubali na kuamini kuwepo kwenye ‘Coming To America’ mpya ni kutokana na kurekodiwa kwenye mjengo wake mjini Atlanta na kuipenda sehemu ya kwanza iliyotoka June 26, 1988.
Toa Maoni Yako Hapa