Sambaza

Album Ya Indigo Imefikisha Bilioni 1 Ya Wasikilizaji

Ikiwa imepita miezi kadhaa tangu Chris Brown aiachie album yake ya Indigo imeweza kusikilizwa na watu wengi zaidi.

Album ya INDIGO ya Chris Brown yenye jumla ya ngoma 32 ilitoka rasmi Juni 28, 2019   imefikisha jumla ya idadi Bilioni 1  ya wasikilizaji (Streaming Platforms).

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey