A$AP Rocky Akutwa Na Hatia Kumpiga Na Kumjeruhi Shabiki
Atimae Rapa A$AP Rocky amekutwa na hatia na wenzake wawili kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi shabiki juni 3 kwenye mitaa ya Stockholm nchini Sweden mwaka huu.
Mahakama imefikia maamuzi ya kutompa A$AP Rocky kifungo cha Jela licha ya kumkuta na hatia, ni kwa sababu walizozitoa kwamba shambulio lile halikuwa ‘Serious’ kiasi cha kumfunga jela. Pia kutokana na muda aliotumia rumande kipindi chote akiwa Sweden mahakama imeamua kutomtoza faini $1300 sawa na Tsh. 3M kwa mlalamikaj
Toa Maoni Yako Hapa