A$AP Rocky Kupandishwa Kizimbani Leo Jioni
Baada ya kuachiwa huru siku kaadhaa zilizopitia uko nchini Sweden, Rapa A$AP Rocky leo jioni atapandishwa tena kizimbani ili kusomea shitaka lake Kama anakwenda Jela au anabaki huru
Mtandao wa Billboard umeripoti kuwa A$AP Rocky anatakiwa kufika mahakani mjini Stockhom leo jioni ili kusikiliza uamuzi wa mahaka kama akipatikana na hati anakwenda Jela .
A$AP Rocky Juni 3 alishikwa na maofisa wa usalama nchini Sweden kwa kosa la kuumshambulia na kumjeruhi shabiki mmoja kwenye mitaa ya Stockholm.
Toa Maoni Yako Hapa