Sambaza

Liam Hemsworth Aweka Wazi Kuvunjika kwa Ndoa Yake

Image result for Miley Cyrus Liam Hemsworth

Baada ya siku kadhaa kusambaa kwa taarifa mtandaoni kuwa ndoa ya Mwanamuziki Miley Cyrus na Muigizaji Liam Hemsworth kuvunjika baada ya ndoa yap kudumu kwa mwaka mmoja , uku sababu ya kuvunjia kwa ndoa yao hazikuwekwa wazi .

Sasa Liam Hemsworth ameamua kutoa ya moyoni kupitia ukurasa wake wa instagram amesema kuvunjika kwa ndoa yake na Miley ni mambo yake binafsi na hatokuja kuongea chochote kwa vyombo vya habari na lolote lisemwalo juu yake ni uongo

Mwanamuziki Miley Cyrus  na Liam Hemsworth walianza mahusiano yao mwaka 2009 na mwaka 2012 walivalishana pete za uchumba na mwaka 2016 waliachana na kurudiana na kuamua kufunga ndoa Disemba, 2018.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey