Ndoa ya Miley Cyrus, Liam Hemsworth Yavunjika
Baada ya kudumu Kwa miezi 7 tu, ndoa ya Miley Cyrus(26) na muigizaji Liam Hemsworth(29) yavunjika.
Miley ambaye ni star maarufu wa muziki amesema ndoa hiyo alikuwa haielewi elewi na pia kimapenzi yeye bado anavutiwa na wanawake wenzie, na anapenda mahusiano ya jinsia moja hivyo hana sifa za kuwa mke wa mtu!
Kwa upande wa Liam Hemsworth ambaye ndie alilazimisha wafunge ndoa, kwasasa anaonekana bado hayupo sawa baada ya kuvunjika kwa ndoa hiyo .
Mastaa hao walianza kutoka pamoja tangu 2009 kisha wakawa wanarudiana na kumwagana
Toa Maoni Yako Hapa