Sambaza

Nicki Atangaza Siku 80 Za Ndoa Yake Na Kenneth Petty

 

Image result for nicki minaj married 80 days

Rapa kutoka pande za Marekani,  Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaji amewaziba midomo wale walioponda mahusiano yakie na mpenzi wake Kenneth Petty Kwa kuweka wazi mpango wake wa kufunga ndoa.

Kupitia mahojiano aliyofanya na kituo cha radio uko marekani Queen Radio, Nicki Amefunguka kuwa tayari wanalesi ya ndoa ila ilipita muda wake kutokana na ratiba zao kubana ila kwa sasa wafanikisha mpango huo wamepata leseni nyengine inawataka kufunga ndoa ndani ya siku 80.

Nick  alimalizia na kusema kwamba harusi yao itakuwa ndogo na mbeleni watapanga sherehe kubwa.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey