Davido Na Chris Brown Kuja Na Goma Lingine
JUNI 30 mwaka huu wakali wawili Davido kutoka Nigeri na Chris Brown kutoka pande za Marekani waliunga na kutengeneza ngoma moja ya Blow My Mind adi sasa katika mtandao wa You Tube imefanikiwa kupata watazamaji zaidi ya milioni 8 .
Sasa inasemekana kuwa huwenda kuna ngoma nyengine kutoka kwa wawili hawa baada ya Davido kupost kupitia insta story yake akiwa kwenye video call na Chris Brown na kuandika ‘Another One’ akimaanisha nyingine.
Toa Maoni Yako Hapa