Nicki Minaji Amempaka Maneno Yashombo Rick Ross
RAPA wakike nchini marekani , Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaji amempaka maneno ya shombo rapa Rick Ross, akifanya mahojiano na joe Budden jana August 14.
Kupitia mahojiano na joe Budden alimuuliza swali Nicki Minaj ni nani mkali kati ya The Game na Rick Ross? Majibu ya Minaj yalimchagua The Game. Kisha alianza kumpaka choo Rozay kwa kuwahi kum-Diss kwenye wimbo wake “Apple of My Eye” wa mwaka 2017.
Nicki Minaj sends shots at Rick Ross in response to 2017 “Apple of My Eye” line
“I told Meek I wouldn't trust Nicki,?Instead of beefin' with your dog, you just give 'em some distance" pic.twitter.com/WGl0QMPkgW
— Complex Ambition (@ComplexAmbition) August 14, 2019
Toa Maoni Yako Hapa