Wizkid Afuta Post Zote Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram
Staa wa muziki kutoka pande za Nigeri Wizkid ameamua kufuta post zake zote kwenye ukurasa wake wa instagram wenye Followers Million 8.2.
Huwenda nakaribia Kuachia Album mpya, Miezi ya hivi karibuni amekuwa akidokeza ujio wa Album yake Mpya ambayo amepita jina la Made In Lagos Wizkid amethibitia pia kuachia ngoma zake ambazo amefanya kolabo Damian Marley, Burna Boy na Teni.
Toa Maoni Yako Hapa