Sambaza

Tanzia: Msanii Bongo Fleva wa The Mafik Afariki Dunia

TANZIA: Taarifa zilizotufikia ni kwamba mmoja wa wasanii wanaounda Kundi la The Mafik Mbalamwezi‘ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Agosti 15 2019.

Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na Hamadai lakini chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana. Mwili wa marehemu Mbalamwezi umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi tunaendelea kukujuza.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey