Alikiba, Aslay Waingia ‘Jikoni’, Kupika Ngoma Mpya
Baada ya kuachia nyimbo mpya akishirikiana na Willy Paul kutoka Kenya na Ommy Dimpoz, inayokwenda kwa jina la ‘NISHIKILIE’ msanii Alikiba ameingia jikoni kupika ngoma mpya na Aslay.
Kupitia kurasa wa Instagram wa Chambuso na Official Wandex ambao ni mameneja wa Aslay, wamepost video ikiwaonyesha Alikiba na Aslay wakiwa studio wakiingiza sauti katika project yao hiyo mpya.
Toa Maoni Yako Hapa