Sambaza

Hatimaye Diamond Amzungumzia Harmonize..

Msanii wa Bongofleva anayefanya vizuri Afrika na nje ya Afrika, Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na msanii wa Lebo yake ya WCB, Harmonize kushindwa kusafiri naye kwa ajili ya show waliyokuwa wakafanye pamoja nchini Marekani.  Diamond amefunguka alipokuwa akifanya mahojiano na waandishi wa habari kuwa yeye mwenyewe hajui ni kwa nini, labda uongozi unaweza kuwa unajua..

” Kiukweli hata mimi sijui kwa nini imeshindikana lakini inawezekana ikawa ni mambo ya Viza kwa sababu hata mimi nilishindwa kusafiri na dancers wangu, ikabidi nitafute dancers huko huko. Lakini uongozi unaweza kuwa unajua zaidi..

Pia amezungumzia uwezo wa kujenga Arena kwa ajili ya kufanyia shows kubwa hapa nchini, akaongeza kuwa akipewa kiwanja hawezi kushindwa kujenga, kwani bilioni tano kwake sio tatizo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey