Sambaza

Kufuru ya Diamond Platnumz, Atumia 178 Mil kwa Mavazi

Msanii Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha jeuri ya pesa katika matumizi yake mbalimbali. Kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond Platnumz amepost video na kuweka caption inayoelezea  gharama za cheni, pamoja saa aliyovaa. 

 

Kwa haraka haraka, ukipiga mahesabu ya pesa alizotumia kununua Cheni pamoja na saa tu ni Shilingi za kitanzania Milioni 150, hapo hatuweka viatu, nguo n.k

Kwa matumizi hayo katika mavazi, Inawezekana akawa ndio msanii pekee kwa Afrika mashariki anayetumia pesa nyingi sana kwenye mavazi ukilinganisha na wasanii wengine.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey