Sambaza

Kanye West, Waumini Wake Wafanya Ibada Barabarani

Kanye WestVersace show, Arrivals, Pre-Fall 2019, New York, USA - 02 Dec 2018

RAPA kutoka pande za California nchini Marekani, Kanye West, Jumapili, Agosti 18 mwaka huu aliungana na baadhi ya waumini wake na kufanya ibada barabarani mjini California huku waumini wa madhehebu mengine wakiendelea na ibada makanisani.

Mwaka 2015 West alitangaza kuja na Biblia yake kwa jina la ”Yeezus” na alitangaza kufungua kanisa lake ambapo alifanikiwa kupata waumini wengi kila Jumapili.

Baada ya ibada walipata burudani kutoka Kanye West kwa kutumia runinga huku wakiwa kanisani.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey