Sambaza

Billie Eilish Amuondoa Lil Nas X Chart Za Billboard Hot 100

RAPA kutoka pande za Mareakni Lil Nas X baada ya kuongoza katika Chart kubwa zaidi duniani za Billboard Hot 100 ndani ya wiki 19 hatiamye ameshuka hadi na 3 nakuachia nafasi hiyo.

Sasa basi wimbo wa Old Town Road umeshuka sio namba moja tena dunani kwenye chart za Billboard Hot 100 baada ya mwanamuziki kinda kutoka pande za Marekani, Billie Eilish ambaye wimbo wake wa ‘Bad    Guy’ kwasasa ndio namba moja kwenye Billboard Hot 100 Huku Old Town Road ikishuka hadi namba 3.

                  

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey