Sambaza

Exclusive Interview: Kamanda Mambosasa, Global Radio

KAMANDA wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, leo Agosti 21, 2019 ametembelea ofisi za Global Group zilizopo Sinza Mori jijini Dar, na kujionea jinsi ambavyo Global kupitia vitengo vyake mbalimbali vinavyofanya kazi.

Kamanda Mambosasa Akizungumza Jambo, Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa Global Publishers Saleh Ally

Kamanda Mambosasa amepata fursa ya kufanya mahojiano na kituo cha redio cha +255 Global Radio na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali yanayohusu ulinzi na usalama katika mkoa wa Dar.

Tazama Video ya Mahojiano Aliyofanya na +255 Global Radio
Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey