Sambaza

R Kelly Akutwa na Virusi vya Gonjwa la Zinaa

Msanii Nguli wa Miondoko ya R n B Duniani R.Kelly, amefanyiwa vipimo vya afya na amekutwa na virusi vya ugonjwa wa zinaa aina ya  Herpes.  Virusi vya Ugonjwa huo vinasambazwa kwa kufanya mapenzi na mtu aliyeathirika na virusi hivyo bila kinga.

R.Kelly bado anashikiliwa na mamlaka za Serikali nchini Marekani kutokana na mashtaka yake 13 aliyosomewa ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wa kike na kuwarekodi.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey