Sambaza

Tanasha Atangaza Kuongeza ”Makalio’ kwa Upasuaji

Mrembo kutoka pande za nchini Kenya, Tanasha Donna ambaye ni mchumba wa Mwanamuziki Diamond Platnumz ametangaza hadharani mpango wake wa kufanya upasuaji ili kuongeza ukubwa wa ‘Makalio’ yake.

Akiongea na followers wake kupitia INSTA LIVE, Tanasha amefunguka kuwa kuna baadhi ya vitu vingi ambavyo havipendi kwenye mwili wake, na atavifanyia marekebisho ikiwemo makalio yake.

” There so much staff I don’t like about myself. I don’t like my body. I don’t like my butt coz actually I don’t have a butt as it is what it is.

Tanasha ambaye anatarajia kupata mtoto hivi karibuni na msanii Diamond Platnumz, ameweka wazi kuwa mpango wake huo ataufanyia kazi mwakani na atakapobadilisha shape yamakalio yake, hatofanya upasuaji na kutumia ‘ Makalio ya Silicon’ bali atafanya ‘real surgery’ na kuongeza fat tissue ’tishu za mafuta zinazopatikana mwilini’.

” Actually I’m thinking of getting a surgery done next year but no Silicon but I will do fat transfer and I’m gonna bee quite open about it and honest. As at the end of the day I believe what is important is who you are deep down and inside.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey