Sambaza

The Rock Afunga Ndoa Na Mpenzi Wake Laurean Hashian

 

 Dwayne 'The Rock' Johnson, Lauren Hashian

STAA wa filamu nchini marekani Dwayne The Rock amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu mrembo Laurean Hashian 34, ambaye  ni mwanamuziki, The Rock na Laurean walikutana mwaka 2006 na hadi sasa amefanikiwa kupata naye watoto wawili wa kike.

kupitia ukurasa wake wa  instagram The Rock alipost pichya na kuandika: “Tumekamilisha. Agosti 18, 2019. Hawaii. P?maika?i (tumebarikiwa).”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey