Sambaza

Future Na 21 Savage Watumia Milioni 690 Kutoa Msaada

https://peopledotcom.files.wordpress.com/2019/08/future-21-savage.jpg

Marapa wawili kutoka pande za marekani  Future na 21 Savage wameamua kurudi kwa jamii kutoa misaada kwa watu wao. Kupitia mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Future na 21 Savagewalikodisha eneo lote la Six Flag mjini Atlanta .

Inasemekana Future pamoja na 21 Savage wametumia kiasi cha $300K sawa na milioni 690 za Kitanzania kwa chakula na vinywaji kwa kila mmoja aliyefika Lengo la tukio ilo ni kutoa shukrani ya kufunga mwaka.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey