Missy Elliot Amerudi Na ‘Iconology’ EP Yake
Rapa mkongwe kutoka pande za Marekani, Missy Elliot amerudi na’Iconology’ EP (Extended Playlist) yake baada ya kukaa kimya miaka 14 tokea alipoachia ngoma yake ya ‘The Cookbook’ ya mwaka 2005.
EP hiyo ya Missy Elliot amemshirikisha Timbaland pamoja wili Hendrix ambayo itakuiwa na jumla ya ngoma tano baadhi ya ngoma tayari video zake zimeshaachiwa kama ngoma ya ‘Throw it back’.
Jumatatu rapa Missy Elliot atatunukiwa tuzo ya mkongwe wa muziki wa pop Michael Jackson Video Award kwenye MTV VMA .
Toa Maoni Yako Hapa