Sambaza

Chris Brown Anatarajia Kupata Mtoto Wa Pili Wakiume

Image result for chris brown and ammika harris

Star wa muziki  kutokapande za Marekani anaefanya vizuri na album yake ya Indingo, Christopher Maurice a.k.a Chris Brown siku za hivi karibuni anategemea kupata mtoto pamoja na mpenzi ambaye ni mwanamitindo kutoka pande za Atlanta, Ammika Harris.

Kupitia mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mwanamuziki Chris Brown amabaye ni baba wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 5 Royality anategemea kupata mtotot wa pili pamoja na mpenzi wake Ammika Harris, inasemekana jinsi ya mtoto huyo imeshawekwa wazi ni wakiume.Image result for chris brown and ammika harris tmz

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey