Sambaza

Davido Na Mpenzi Wake Kuileta Ngoma Yao Ya Pamoja

Mwanamuziki anefanya vizuri na ngoma yake ya Blow my mind nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a Davido kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye insta story ameshare picha kye pamoja na mpanzi Chioma waki wakiwa wanaonekana studio wanarekodi ngoma yao ya pamoja uku akiweka ujumbe kuwa nyimbo itakua ni yatatu kwenye album yake mpya ya Davido

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey