Sambaza

Sababu ya Collabo ya Diamond na Lil Wayne ‘Kufeli’ Yatajwa

Mwaka jana 2018, Msanii anayekimbiza kwenye ‘Game’ ya Bongofleva Diamond Platnumz alitangaza kuwa amefanya ‘Collabo’ na msanii kutoka Marekani  Lil Wayne na kuwataka mashabiki kujiandaa kupokea kazi bomba kutoka kwao.

Baada ya ukimya mrefu kuhusiana na project hiyo, Meneja wa Msanii huyo Sallam SK ameeleza sababu ya project hiyo kupotezewa na kushindwa kufanyika 

” Nyimbo ilienda ikakubaliwa lakini katika makubaliano time ilikuwepo wao hawataweza ku-shoot video. At the moment tukaona kwa nini tunafanya project kubwa halafu haitakua na video, so we just deiced to skip it ” Ameeleza Sallam SK alipokuwa akifanya mahojiano na Radio ya Wasafi

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey