Sambaza

Taylor Swift Album Yake Ya Lover Yavunja Rekodi Kimauzo

Image result for taylor swift lover

Mwanadada mrembo anaye fanya muziki pande za marekani, Taylor Alison Swift amekuja na  Album yake mpya inayoitwa ”Lover”, Album hiyo  imefanikiwa kuvunja rekodi ya mauzo kwa Album zote zilizotoka mwaka huu 2019 ndani ya siku mbili tangu alipoachia album hiyo.

Mtandao wa Billboards umeripoti kuwa ndani ya masaa 48 Album ya Lover ndio album aliyouza zaidi ndani ya wiki ya kwanza na kufanikiwa kuvunja rekodi, pia mwaka 2017 Taylor Swift alivunja Rekodi na Album yake ya eputation iliyompa mafanikio zaidi.

Image result for taylor swift album lover

Taylor Swift aliachia Album yake siku ya ijumaa Aug. 23 mwaka huu nakupokelewa vizuri na mashabiki zake adi sasa Album hiyoimeuza nakala 500,000 na kufanya kushika namba moja kwenye chart za Billboard 200.

 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey