Waigizaji 10 wanaolipwa Pesa Ndefu Duniani
Jarida la Forbes limetaja list ya waigizaji ambao wanalipwa pesa nyingi zaidi duniani kutokana na kazi zao za sanaa ya uigizaji. Kwa nyakati fulani List hiyo ilikuwa ikiongozwa na majina makubwa kama Tom Cruise na Harrison Ford, lakini hivi sasa ni tofauti kabisa.
Majina kumi (Top 10 ) yaliyotajwa na jarida hilo maarufu duniani pamoja na pesa walizoingiza kwa mwaka huu ni ;
10. Will Smith
Earnings: $35 million
9. Paul Rudd
Earnings: $41 million
8. Chris Evans
Earnings: $43.5 million
6. Adam Sandler
Earnings: $57 million
6. Bradley Cooper
Earnings: $57 million
5. Jackie Chan
Earnings: $58 million
4. Akshay Kumar
Earnings: $65 million
3. Robert Downey Jr.
Earnings: $66 million
2. Chris Hemsworth
Earnings: $76.4 million
1. Dwayne Johnson
Earnings: $89.4 million
Toa Maoni Yako Hapa