Azealia Banks si shabiki Tena Wa Cardi B
Sio siri tena kwamba Azealia Banks si shabiki wa Cardi B. hapo zamani rapper huyo toka Harlem amekua akimkosoa rapper huyo wa Bronxi kwa kumsingizia Cardi kwamba amekua akiiga .
Jumapili Banks alidondoka kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumzushia Cardi B kwa kuiga mfumo au style pamoja na vazi alilovalia kwenye redcarpet wakati wa premiere ya filamu ya Hustlers huko hollywood
Toa Maoni Yako Hapa