Cardi B Ashinda Tuzo Ya Best Hip Hop Video
Rapa kutoka pande za marekani Cardi B ameshinda tuzo ya Best HipHop Video usiku wa kumka leo katika hafla ya ugawaji tuzo za MTV VMA’s kupitia ngoma yake ya ”Money” na kufanikiwa kuwapiga chini 2 Chainz ft. Ariana Grande – “Rule the World”, 21 Savage ft. J. Cole – “a lot”, Dj Khaled t. Nipsey Hussle & John Legend – “Higher”, il Nas X ft. Billy Ray Cyrus – “Old Town Road (Remix)” na Travis Scott ft. Drake – “SICKO MODE”
YAS! Congrats @iamcardib on winning Best Hip-Hop at the #VMAs pic.twitter.com/kDCKBiaWC8
— MTV (@MTV) August 27, 2019
Toa Maoni Yako Hapa