Hii ndio Red Carpet Kwenye Tuzo Za MTV Video Music Awards 2019
Huu ndio Muonekano wa Mastaa Mbalimbali Kwenye Red Carpet za Tuzo za MTV VMAs zilizofanyika Usiku wa Kuamkia Leo
Mwanamuziki Taylor Swift katika pozi
Rapa Lil Nas x akiwa kwenye Red Carpet ya MTV VMAs
DJ Khaled akiwa kwenye Red Carpet ya MTV VMAs 2019
Mwanamitindo Maharufu Heidi Klum akitabasamu katika Red Carpet ya MTV VMAs 2019
Rapa Megan akiwa katika Red Carpet MTV VMAs 2019
Rapa 2 chainz akiwa kwenye Red Carpet MTV VMAs 2019
Mwanamitindo Blac Chyna akionyesha madoido kwenye Red Carpet MTV VMAs 2019
Rapa Rick Ross akiwa amevalia mavazi ya Gucci juu adi chini kwenye Red Carpet MTV VMAs 2019
Toa Maoni Yako Hapa