Red Carpet Ilivyonoga Tuzo za MTV VMA’S 2019
TASWIRA ya kuvutia ilitawaliwa na heshima ya ‘Red Carpet’ (Zulia Jekundu) kwa washindi na washiriki wa Tuzo za MTV VMA’s zilizofanyika nchini Marekani usiku wa kuamkia leo. Hali halisi ilikuwa kama ifuatavyo:
Mwanamuziki Taylor Swift akipozi kwenye Red Carpet ya MTV VMA’s 2019
Rapa Lil Nas.
DJ Khaled.
Mwanamitindo Heidi Klum.
Rapa Megan.
Rapa 2 Chainz.
Mwanamitindo Blac Chyna.
Rapa Rick Ross.
Toa Maoni Yako Hapa