Sambaza

Sakata La Jay-Z Kuingia Ubia Na   NFL Kuleta Hisia Tofauti

Image result for jay z NFL diddy

Sakata kuhusu rapper Jay-Z kuwa ubia na   NFL kumeleta hisia tofauti  baada ya hali hiyo kuonekana mshikaji wake msanii huyo aitwae diddy ameamua kuingilia kati na kulipa uzito jambo hili.

Jana muasis wa the Bad Boy Records  aliamua kuingia kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumtetea rafiki yake kuhusiana na dili la NFL. Wakati huo akiwa ni shabiki mkubwa wa Colin Kaepernick hata hivyo Diddy amewasihi mashabiki kuendelea kumuunga mkono Jay.

Image result for jay z NFL diddy instagram
Diddy aliendelea kusema Jay mara nyingi amekua akipambana akiwa mwenyewe na kupigania watu kama binadamu si vyema kujigawa kwa kipindi hiki na imani atafanya mambo makubwa
Kauli ya Diddy imekuja baada ya taarifa kuhusu Jay Z za kuuenguliwa kuwa mmiliki wa NFL

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey