Sambaza

Wasanii Wanawake Walionasa Mkwanja Bab’Kubwa 2019!

JARIDA la Forbes la Marekani limetoa ya wasanii wa kike wanaoingiza pesa kubwa  zaidi kwenye muziki kwa mwaka huu, 2019.

Image result for 1. Taylor Swift - $185M 2. Beyonce - $81M 3. Rihanna - $62M 4. Katy Perry - $57.5M 5. Pink - $57

Mwanamuziki Taylor Swift ameongoza orodha hiyo kwa kuingiza Dola mil. 185 ambazo ni sawa na Sh. bilioni 425 zilizotokana na ziara yake ya kimuziki ya  ”Reputation Tour”.

Orodha hiyo ni

1. Taylor Swift – Dola mil. 185
2. Beyonce – Dola mil. 81
3. Rihanna – Dola mil. 62
4. Katy Perry – Dola mil. 57.5
5. Pink – Dola mil. 57

6. Ariana Grande – Dola mil. 48
7. Jennifer Lopez – Dola mil. 43
8. Lady Gaga – Dola mil. 39.5
9. Celine Dion – Dola mil. 37.5
10. Shakira – Dola mil. 35

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey