Sambaza

Marioo Atoa ‘SIRI NZITO’ Kuhusu yeye na Wanawake

DAAH!! Msanii wa Bongofleva Omary Ally maarufu kama Marioo, amefunguka kuwa  hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake.

Marioo ameyasema hayo alipokuwa akipiga story na moja ya kituo cha televisheni hapa Bongo, ameongeza pia kuwa hajichui, sio bikira ila ana njia zake anazofanya kumuwezesha awe hivyo.

Sina mpenzi na sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote, sipigi nyeto na sio bikra, Ila nina njia zangu ninazozijua mwenyewe” amesema Marioo.

Aidha Marioo amezungumzia kiwango chake cha elimu ambapo amesema kuwa,  hakufika Sekondari ameishia darasa la Saba lakini hadi sasa alipofikia,  anajiona anayo elimu ya kidato cha nne.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey