Video Mpya : Ruby x Kusah – Nadondosha
MWANADADA mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ruby pamoja na mpenzi wake Kusah baada ya kufanya vizuri kwenye nyimbo yao ya kelele sasa wamekuja na hii video ya nyimbo yao mpya inayoitwa Kelele, video imesimamiwa na Director Creator Pro.
Toa Maoni Yako Hapa