Cardi B Afunguka Mpenzi Offset Kumsaidia Kupata Collabo
Rapa wa kike nchini marekani, Belcalis Marlenis Almánzar a.k.a Cardi B amefunguka kuwa mume wake ambaye ni rapa Offset alimsaidia kupata baadhi ya Colabo kwenye album ya Invasion Of Privacy ambayo aliachia April 6 mwaka 2018 na kumpa mafanikio makubwa.
Kupitia ukurasa wake wa twitter ametweet kuwa kipindi anatahalisha album yake alikuwa mjamzito na kusababisha baadhi ya wasanii kumbania kufanya nae Colabo ndipo Offset alipochukua jukumu la kuwatafuta na kufanikisha hilo.
Toa Maoni Yako Hapa