Sambaza

Chris Brown Aamua ‘Kufanya’ Kama Alikiba

Mwanamuziki kutoka pande za Marekani Christopher Maurice Brown a.k.a Chris Brown ameingia kwenye headlines baada ya ku unfollow watu kwenye ukurasa wake wa instagram .

Hii si mara ya kwanza kwa watu maarufu ku ‘unfollow’ watu wote kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii. Kwa hapa Tanzania Msanii Alikiba aliwahi kufanya hivyo miaka michache iliyopita na mpaka sasa hajafollow mtu yeyote katika kurasa yake ya mtandao wa Instagram..

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey