Kanye West Athibitisha Ujio Wa Album Yake Mpya Ya Injili
KUTOKA pande za Marekani Rapa Kanye West ameamua kumuimbia Mungu baada ya kuthibitisha ujio wa album yake mpya ya nyimbo za injili inayoitwa “Jesus Is King” ndani ya album hiyo itakua na nyimbo 12.
Sasa basi kupitia ukurasa wa Instagram wa Kim Kardashian ambae ni mke wa Rapa Kanye West ameweka wazi juu ya ujio wa album hiyo ambayo itatoka rasmi mwezi wa 9 tarehe 27 mwaka huu.
Toa Maoni Yako Hapa