Wakenya ‘Wamcharukia’ Huddah Monroe
Mrembo kutoka pande za Kenya, Huddah Monroe ameamsha gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kuweka post kuwa hajashiriki tendo la ndoa kwa muda wa siku 60.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Huddah aliandika hayo huku akisisitiza kuwa ana hamu sana ya kupata kijana mdogo ‘Kiserengeti Boy’ kwa ajili ya kutimiza haja zake.
“I have not had my conjugal rights in two months. Practicing self-control in this sinful world. 18-year-old boys looking like snacks. I want to eat them all”
Baada ya kuweka post yake hiyo, watu kibao walianza kumshambulia wakidai siku 60 sio nyingi kwa mtu kulalamika kuwa hajafanya mapenzi, kwani kuna watu wanakaa zaidi ya mwaka na hawalalamiki. Hizi ni baadhi ya comment chache za followers wake;
Vio Wa Kamadi 2months and she’s complaining??? Kwani how often do pipo do this things???? Am counting 6months.. ….mmmmh awouro
hilly_billy63 HoeDah thinking 2 months is anything to brag about
bellaaluoch They’re only called conjugal rights when you’re married. For single people it’s fornication LOL?