Sambaza

Sugu Auaga Ukapera, Afunga Ndoa Takatifu Leo

MBUNGE wa Mbeya mjini kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ leo tarehe 31, August 2019, amefunga pingu za maisha na mchumba wake ajulikanaye kama Happiness Msonga. Ndoa hiyo ambayo ilitangazwa siku kadhaa zilizopita imefungwa leo katika kanisa katoliki la Ruanda lililopo Jijini Mbeya.

Katika harusi hiyo, baadhi ya wabunge wameungana naye katika siku hiyo muhimu akiwemo swahiba wake Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kama Professor Jay. Kupitia ukurasa wake wa Instagram mbunge huyo wa Mikumi amepost picha ikimuonyesha akiwa kanisani kushuhudia tukio hilo muhimu.

 

View this post on Instagram

 

CHURCH TIME ???? Harusi ya JONGWE??? @jongwe__ Mbeya Stand UP??

A post shared by Professor Jay (@professorjaytz) on

 

Picha zaidi na video za tukio hili tutakuwekea hapa hapa

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey