Sambaza

Prof. Jay Ana Roho Mbaya, Mlafi – P Funk

Mtayarishaji wa Muziki mkongwe nchini Tanzania, P Funk amezungumzia kuhusu kauli aliyoitoa msanii Professa Jay kuhusiana na yeye kulipwa Shilingi Milioni 100 na msanii kutoka Uganda.

Akifanya mahojiano na moja ya kituo cha Televisheni nchini cha EATV, P Funk amefunguka

Ile ‘comment’ ina kitu ambacho kimejificha kuhusu Prof. Jay ambaye ameweka majungu, roho inamuuma hii ‘issue’ sio ya leo wala ya jana ni zaidi ya mwaka umeshapita, ile meseji inajieleza imenibidi nitoe ya moyoni maana nampigia simu hapokei ananikwepa”. 

P Funk ameendelea kusema kuwa heshima ya msanii huyo ambaye pia ni mbunge wa Mikumi imeshuka kutokana na suala hilo la pesa na kuongeza kuwa walishalimaliza ila Prof. Jay anaendelea kuchochea na kuwa na roho mbaya, ulafi hata picha zake ha-likes kwenye mitandao ya kijamii na hawajawasiliana kwa mwaka sasa

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey